Habari yako Ndugu Eliud
Nimeshuru sana hiyo ujumbe wako ni ya muhumu sana,kumbe ume piga hatua kumbwa sana
Bellow is the translation of what Eliud wrote.I got it from Eliud mail so I just though it wise to just translate it to you
Habari Ndugu yangu Don Croft
Ni furaha yangu ya dhati sana ninapo eleza jinzi kazi yetu ya mbolea imeimarika maishani ya wa Tanzania kwa wakati huu. Kwa hakika tangu tuanze hii mradi ya kupeane mbolea kwa wakulima hapa inchini kwetu ninaye ripoti kadha ya mafanikio ambayo watu wetu wameza pokea kupitia mbolea tumepeane wakulima.
Tena ningpenda ni kuhikizie watu wetu ya kwamba hiki chombo itwayo zapper ni wa muhimu sana,na nimeshukuru sana marafiki zetu Don Croft na kikundi chake pamoja na wandungu zangu kutoka inchini Kenya kama Bibi ya Odondi, Chris ,Dancan na wengine kwa kutuletea kitu ya maana. Sasa kwa mfano hapa inchini Tanzania tunayo maradhi tofauti tofauti kama kachwende,upele kifua kuku hiki chombo imetusaidia sana. Sasa ombi langu ni ya kwamba kama tunu weza kupata nyingi illi isidi kusaidia watu tunge shukuru sana.
Mwiso ,tunaendelea vizuri sana na kazi,na kwa hakika sasa hivi tumepiga hatua kubwa sana na tumeshukuru wasimamisi wa huduma hii
Asanteni ni mimi wako
Eliud
translation
I’m very happy when narrating how mbolea have improve the lives of the Tanzanian at this time.For sure since we started the project of in our nation now I have several good reports which proves how our people have improved in life.
Again I really like to prove to you that our people like the zapper, that instrument is very important and I thank our brother Don Croft and his team and also our brothers from Kenya like Mrs Odondi Chris,Dancan and others for bringimg to as something very important. Now in our nation Tanzania we have several diseases like sexual transmited diseases scabbyTb’s so this zapper is really very helpful. Now my request is that if we can get many zappers to help us would bwe good.
Last we are doig well the work is good and for now we have made abigg step and we really thank thank the inventors.
Thanks
Nicholas