Somalia story

Kulingana na kazi ya ajabu ambayo kila mara tulikuwa tukifanya huko Somalia, sasa katika hali ya kisiasa kuna utuluvu kidogo hata ingawaje bado kuna msukosuko kidogo lakini ninaimani ya kwamba mwisowe amani ya kudumu itapatikana huko.
Wakulima huko sasa wamenawiri kimaendeleo kwa sababu wengi sasa watumie mbolea yetu kwa kilimo.Masao na mimea kama matunda,paipiai, nanasi sasa hivi ina fanya vyema.Jambo muhimu sana sasa ni ya kwa ,kwa wakati huu ukienda Somalia watu wanaweza kutabasamu kidogo kwa sababu kuna mabadiliko katika hali ya hewa. Wengi sasa waendeleza kilimu bila uoga yoyote maana kuna mvua ya kutosha hasa hasa eneo ya Liboi karibu na mpka wa Kenya na Inchi yetu Somalia.

Juzi tuli jaribu kupeana mbolea katika mamilima kwa sababu hayo ndiye mojawapo ya mashehemu muhimu ambayo maji ambayo inatumiwa hasa hasa katika mamiji makuu .Lengo letu kuu ni kufanya wote Katika inchi yetu afaidike katika matumisi ya mbolea.

Nashukuru sasa Bibi ya Odondi pamoja na wangine kama Ndugu Dancan pamoja na Chris kusimama na mi katika hali yote.Hata juzi Bibi ya Odondi alitumana mbolea na sasa hivi naendelea vizuri.Ombi langu la killa siku ni kwamba Mungi habariki Don Croft ,Bibi ya Odondi na wandugu wengine.
Asante na Mungu hawabariki
Fatuma

Hi Don
Thanks and good to have such messages especially from Somali Land and more so to me who had known the place Really I would say that at least something good will finally come from that region. I managed to translate all that our sister Fatuma wrote as follows

That’s the translation of what Fatuma wrote

Concerning the great work that we had been doing in Somali, for now on the political affair we are experiencing peace even though not fully there are still some wrangling but I believe at the end a lasting peace will be reached
Farmers here have gained a lot on the farming many of them now are using our mbolea. Their crops and fruits like pawpaw, pineapples right now are doing very well. Good news to me now is that in our nation people can now smile for theirs is at least a change of weather. Many people now have resorted to farming without fear of draught for the rain is now sufficient especially along the border of Kenya and Somalia at Liboi.
Recently we tried to gift some mountains for they are the water shade that almost all the waters which are being used in tows are coming from. So through doing all these we expect all the residents to at least get In touch with our mbolea

Now I thank Mrs. Odondi and other like Brother Dancan and Chris for standing firmly with me. Recently Mrs O sent to me some of the orgonite and now I m doing very well. My every day prayers is that God to bless Don Croft and other brothers.
Thanks and God bless you
Mrs. O

Sasa tuna mafanikio ya a jabu hapa inchini Somalia kwa maana kuna utiuiivu hata igawaje sio thabiti. Watu sasa wanawaza kuishi kwa a mani.Hata wafanya biashara sasa wanaweza kuendeleza biashara zao…Jambo nataka wangi sasa wafanye ni kilimo maan ndiye ndiso kuu katikea mafanikio wa watu katika jamii.

Faida yetu ni ya kwamba sasa wengi wameanza kilimo tiyare na tena watumia m bolea yetu.Jusi nilipata habari kutoka shehemu ya Chismayu ambaye samani ilikuwa ngome kuu ya watu wa Alshabab sasa wanawaza kuendeleza biashara yao vilivyo
Fatuma

Mbolea katika Somalia

Kuwa wakati huu inchini Somalia mahali amboya hata maisha wa wenyeji silikuwa vigumu kwa sababa ya vita pamoja na ukame,kazi ambayo tulifanya huko sasa imesa matunda y a kudumu. Watu sasa wanaweza kutengeneza mashamba yao, walime vizuri na kupanda mbego tofauti tofauti kama nyanya,maharagwe, maindi pamoja na masao zingine. Hata wafugajingombe pia wako na nafuu kwa maana migugo zao sana zinakuwa vizuri kwa sababu mvua sime leta nyasi chakula cha ngombe.

Upande sa vita sasa kuna amani thabiti watu sasa wanaishi vizuri wengine wanafanya biashara zao bila uoga,watu wanaishi kwa furaha mno.Sasa ningependa ni malise nikisema, lasima tujitahidi na kazi ngumu illi tubadilize hio inchini yote na kupeane mbolea kwa kila shehemu.
Ni Mimi
Fatuma

For now areas a long the boarders of Somalia and Kenya are doing great work. After our good application of mbolea people now do farming. Najua hivi karibuni tutaendelea vizuri sana.Sasa rafiki yangu Fardusa is planning to take some mbolea to Magadishu. Mama Billi Bibi ya Odondi send us some mbolea and those are the stuff which Fardusa will take to Mogadishu. Right now we are at Liboi
Fatuma.